Da Kiukweli Kati ya Kipande ambacha Kimenifanya Nifurahi Zaidi Ni Kusikia Mati Ana ujàuzito wa manyanya, Kiukweli Mbarikiwe Sana Kwa Kazi ya Mikono yenu Jamani
Manyanya chunga ndoa yako mwanamke wa nje asiharibu ndoa yako kwa sababu ya mimba.... Mimba ni tunda huna uhakika litakuwa au litadondaka.... Huna uhakika jee ni yako kwel.., wanaume muache usaliti wa ndoa zenu....
Nawakubali sana
Maskini wa mungu sijawai ona kitu kama hichi
💕💕💕💕💕💕❤
Dera limekupendeza atari
waoooo
We manyanya weeeeeeee love you
Duh!!big kazingua
Duuu bonge jikaz
kama unampenda mtunzi wa dunia gonga like yako
cjapenda hta kdg napenda ndoaaa,,wanaopenda manyanya atulie kweny ndoa gonga like hpa
Mimi naitwa francine natoka drc kweli iyi filamu naipenda sana nasimimituh ila watu wengi apa kwetu wanaifatiliya sana inatufunza mengi
Mwanaume mpumbavu huyuuu
I swala imenigisa sanazaidi kunifunza mabarikiwe
Khee .. Dunia na ulimwengu
Kaz nzuri
Tunawakubali wanetu mumetisha xana pamoja kutoka lusaka Zambia ❤❤❤❤
Mmmh ila Jamani me kanifurahisha uyo kibonge kuwa yeye ni marehe mtarajiwa😬
Jaman naipenda sana ihi move
Kupata mimba mchepuko hakusababishi ndoa kuvunjika kikubwa mke awe ktk ubora wake na kumuomba MUNGU ktk kila jambo
Uwakika sana Dunia tunajifunza vingi muendelee kutoa vitu vizuri zaidi mungu awabariki kazi ya mikono yenu
Sasa hili li big linalia nini lenyewe si ndo limemuuza mkewe, halafu mbona wanaweza kufanya Kaz wapate pesa mwili mkubwa akili kisoda
Baba asma anakiti chake mbinguni,
amejua kutuburudisha
❤❤❤❤❤❤ unyama Sana matlida n bola umemuweka wazi manyanya
hongeleni na mungu azidi kuwapa nguvu
Unaendleaje pekee ako na una mwenza jamani
Dunia na kodi ya nyumba ovyoooo
Ukweli tangu nianze kuangalia dunia sijutii kuweka bandle langu mungu awabariki
Naipenda sana filamu zenu ya dunia kitu ongezee filamu
nimefurahi sana mati kuwa na mimba ya manyanya
Akika mati unapendwa sana ila upole wako ndo mtaji wako.
Ila wa big na muha wamezingua
Mim sio muogeaji sana zaidi ya kuwatakia kazi mjema move yenu tumihipenda
Da Kiukweli Kati ya Kipande ambacha Kimenifanya Nifurahi Zaidi Ni Kusikia Mati Ana ujàuzito wa manyanya, Kiukweli Mbarikiwe Sana Kwa Kazi ya Mikono yenu Jamani
❤❤❤❤❤❤manyanya na marti
tuliofulah mati kua namimba tujuane
A'm the first one"
Ndoa na iheshimiwe na watu wote
Team Vai oye🤸♂️🤸♂️🤸♂️🤸♂️
Daaaah manyanyaaàaaaaaaa utarud tu
Jamani dunia ni funzo kubwa san kwa wanawake na wanaume
Jamani ngoja nibaki huku uheheni mwanaume akiwa Hana kitu hawenzi mruhusu mkewe akaziniwe kisa njaa kweli uheheni hatuna shidaa
Ongela sn mati nivizuliata ukificha mimb mtoto anakuumbua❤❤❤❤❤
Tujifunze wanawake kupitia dunia❤
Hongera kwa kaz
Ongereni sana
Mashallah 💓 kazi nzuri
Sema kipande cha big hakijanyooka sana sio kizur sana
Amefanya vizuri kwa sababu mtoto sikuzote hueka wazazi pamoja ❤❤❤❤❤
Ila mganga wa Dunia ya Leo duuhh😂😂😂
Manyanya chunga ndoa yako mwanamke wa nje asiharibu ndoa yako kwa sababu ya mimba.... Mimba ni tunda huna uhakika litakuwa au litadondaka.... Huna uhakika jee ni yako kwel.., wanaume muache usaliti wa ndoa zenu....
Munatumalizia mega iyo Jo Dunia kweli
Provide.. Ebhna unamluhusu Mkeo Akachapwee Kwelii Kisa Maokoto then Unashuhudia Usenge. Mwanamke Kajitunza Sana. Then unashuhudia Fala kweli😂
Dunia
aisee kwenye hii dunia kun meng mnatufunza asa kwa sie wenye famlia dah mung azd kuwapa ufanis wa ali ya juu sana
114kutoka saudia rebia 🎉🎉🎉🎉❤❤
Msiwe mnatucheleweshea😢 mmeshatukamata na kututeka
Manyanya ❤❤❤❤❤❤❤to
makubwa we umtoe mkeo alafu uanze kulia kumbe we pang'ang'a😢
Napenda Dunia kama Dunia yenyewe"
Kaz nzr bro manyany 🥰👌👌🥰
Sasaa matilda ulivozimia ulipimwa kila kitu ukawa Huna ttzo lolote, hii mimba sitaki kuamini kama unayo kweliii apa manyanya anavutwa tuu😅
Kwaiyo Vai ajiandae TU na kupokea mtot
Hapo nipoa❤❤❤❤❤
Kiukweli niko makin sana ktk mapnz hususan na mume wa mtu.. naogopa sana
Dah Dunia ni fire. Ila jamani fanyeni kama mnapita kwangu kuangalia nilichoandaa pia. Asanteni sana.
Kweli hii filamu imefunza mambo mengi kwa ndoa ,kweli ndoa ina mambo mengi .lakini cha muno ni upendo na uvumilivu.KENYA TUNAWAPENDA SAAANA
😂😂😂kuku hakuli Michele,bonge vp wasiwasi meanimaliza aise nimependa hiyo
Mwanyanya me naona anamkosea matilida c waendelee na mapenz Yao hiv Kwan wazaz ndo wanae oa au mwanyanya mwenyewe❤❤❤❤❤
Jaman dunia inafunza ❤❤❤
Naipenda mouvie hii yani safi sana 🎉🎉🎉❤ Allah awape nguvu mzid tupa mafunzo mazur
Pongezi kubwa kwenu bwana manyanya pongezi kwako
Manyanya usimwache mkeo Vai utaratibu movie
Tim vai tujuane
❤❤❤❤.nawapenda.sana.endeleni.kutoa.mazuri
Mko vizuri ❤❤❤❤❤❤
Mimba tunayona natunatamba nayo manyanya akikataa mimba naacha kuangalia dunia
Sasa mbona uwachee kuona dunia 😂😂 mm nipo for better for worse 😅
😂😂😂😂😂
Ata mm naacha😢😢😢
Jamani dunia inafaa ije episodes mbili au tatu
Kuku mwenyewe broila😂😂
Hahhahahah😂😂😂 kuku mwenyew wa kisasa kumbe
❤❤❤kwanza wanapendana
❤❤❤❤❤❤❤ from Zambia 🙄🙄🙄
mmeanza kuharibu kuingiza event nyingine izo uharsia wa dunia unapotea sasa
Jaman hii dunia au majanga
Ila Dunia mtuonee huruma, tunataka Episode 2 au Tatu kwasiku 🥺😢
Ila kwa mganga nimecheka sana😂😂😂
Jaman kubali mimba yako et ili ajisikie vizuli et ❤❤❤
Mko vizuri ila sasa matangazo ni mengi jamani hadi mtu unaacha njiani kabla ya kumalizia 😢
haya tunaojuwa mke wa manyanya n mgumba tujuane hapa😂😂😂
na mgonge like zang hapa
Wametuchelewesha bwana, napenda mwanangu mati arudi kwa kawaida wake,Na manyanya alisha jua kama mati ana mimba,inataa aamuwe ,kusuka ao kunyola😊🇨🇩🇨🇩
Arudi wapi kwa mati!! Hapana arudi tu kwa mkewe. Mati ni kahaba tu
Wenye ndoa yetu tunaitaka 😅😅😅😅
Mm nampend kaka many any make ni Mt bor sana wanaume mjifunzie kitu ap
Kwanza nmestuka baada ya kusikia 🙄🙄🙄nikuge miti 🤣🤣🤣🤣
Dunia inatufunz mengi
Nikupige miti au unasemaje
Weee sasa kutaendaje apa but bora ako na mbegu matii
dunia imefika huku
Mbona mmechanganya mada hatuelewi
Naona mmetuletea dunia na ulimwengu😁😁
😅😅😅😅😅😅
Acha vituko ww😂😂😂
Kwa kwel dunia❤❤❤❤❤
❤❤❤
Nawapenda Sana dunia tuperaua
🎉🎉🎉
AKILI KUBWA HUONGOZWA NA AKILI NDOGO
KAZ NZUR